EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Friday, December 13, 2013

MABALOZI WANAOTANGAZA UTALII WA TANZANIA NCHINI MAREKANI WAZAWADIWA


Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba akiongea machache kuwashukuru Mabalozi wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumatano, Dec 11, 2013 kwenye Ubalozi wa Tanzania Washington, DC nchini Marekani siku Bodi ya Utalii ilipotoa tuzo kwa mabalozi hao wanaotangaza Utalii wa Tanzania nchini Marekani.

Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akiwashukuru mabalozi wa Utalii kabla ya kukabidhiwa tuzo zao kwa kazi nzuri wanaoifanya kwani sasa hivi Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa kupeleka watalii wengi nchini Tanzania.

Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania National Parks, Bwn. Allan Kijazi akiongea machache kuelezea vivutio vingine vyilivyopo hifadhi za Taifa za wanyama pori na kuwashukuru Mabalozi hao kwa kazi nzuri ya kutangaza Utalii wa Tanzania.

 Karen Hoffman mwakilishi wa bodi ya Utalii nchini Marekani kutoka kwenye kikundi cha Broadford kilichopo New York nchini Marekani pia akiongea machache na kuwashukuru mabolozi hao kwa kazi yao ya kutangaza Utalii wa Tanzania hapa Marekani na juhudi zao kuzaa matunda na kuifanya Marekani kuongoza kwa kupeleka Watalii wengi nchini Tanzania.
 Mhe. January Makamba akimkabidhi tuzo mwakiishi wa Precision Air Bwn. Gregg Truman kama Balozi wa Utalii toka New York.
 Mhe. January Makamba akimkabidhi tuzo Bi. Ally Miola kutoka Premier Traveler Magazine kama Balozi wa Utalii toka New York.
 Mhe. January Makamba akimkabidhi tuzo Bwn. Allan Feldstein kama Balozi wa Utalii toka California.
  Bwn. Allan Feldstein akitoa shukurani zake.
Macon Dunnagan "Mr Kilimanjaro" akiongea machache na kuwashukuru Naibu Waziri, Mhe. January Makamba akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Liberata Mulamula. Bwn. Dunnagan ameishapanda Mlima Kilimanjaro mara 32.

Mhe. January Makamba, Mhe. Liberata Mulamula katika picha ya pamoja na Mabalozi wengine wanaotangaza utalii wa Tanzania nchini Marekani kwenye picha kutoka kushoto ni Mkurugenzi mkuu wa Tanzania National Park Bwn. Allan Kijazi, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Liberata Mulamula, Bwn. Michael Boufield, Bwn. Roberto Parada, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba na Bwn Macon Dunnagan "Mr. Kilimanjaro"

Picha ya Pamoja ya Mhe. January Makamba na Balozi Liberata Mulamula wakiwemo Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania waliokuwepo kwenye hafla hiyo.
(Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog)

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate