Akizungumza na mwandishi wetu ndani ya Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar, msanii huyo alisema alikutwa na magumu hayo mwishoni mwa mwezi uliopita alipokwenda kutambulishwa ukweni huko.
Alisema,
tofauti na alivyozoea, alilazimika kupika ugali mkubwa wa kulisha zaidi
ya watu thelathini, kuchanja kuni porini, kufuata maji umbali wa
kilometa tatu kutimiza wajibu wa mwanamke.“Ilikuwa balaa, nilikutana na wakati mgumu sana ukweni, kupika ugali mkubwa, halafu ugali wenyewe ni wa mtama na muhogo, si mchezo,” alisema Shamsa.

No comments:
Post a Comment