Mhe Spika
Anne Makinda akikagua kazi baada ya ufungaji wa Vito ndani ya ukumbi
huo kukamilika.Mwingine pichani ni Mkandarasi Dr.David Zachariah wa
Computer Consult ambao ni wakandarasi wa mradi huo wa ufungaji viti.Vito
hivyo ni mahsusi kwa matumizi ya Bunge la Katiba.
Dr David
Zachariah wa Computer Consult akimtambulisha mtaalamu wake wa mradi wa
Viti,Bw.Sidney Robson kutoka Afrika Kusini.Mradi huo umekamilika tayari
kwa matumizi ya Bunge la Katiba.
Picha kwa hisani ya Ofisi ya Bunge
No comments:
Post a Comment