EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Thursday, March 20, 2014

KINANA AZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE KWA KISHINDO‏

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwan Kikwete wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Polisi mjini Chalinze leo ambapo amemuelezea Ridhiwani kama kijana aliyelelewa vyema na chama cha Mapinduzi na wananchi wa jimbo la Chalinze wamchague mgombea huyo kwani ataweza kuwawakilisha vyema bungeni na kutatua matatizo ya jimbo hilo kwakuwa yeye ni mwana CCM na ilani inayotekelezwa ni ya CCM, Uchaguzi wa jimbo la Chalinze unatarajiwa kufanyika Aprili 6 mwaka huu. 2 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa jimbo la Chalinze katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Chalinze leo. 3 
Mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwan Kikwete akiwahutubia wananchi wa jimbo la Chalinze wakati alipokuwa akiomba kura.
4 
Mama Salma Kikwete Mke wa Rais na mjumbe wa Halimashauri kuu kutoka mkoa wa Lindi akimsikiliza mmoja wa waliokuwa wagombea wa jimbo la Chalinze katika mchujo ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Imani Madega mara baada ya kumuombea kura Rihiwani Kikwete, katikati ni Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadik 5 
mmoja wa waliokuwa wagombea wa jimbo la Chalinze katika mchujo ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Imani Madega kulia akizungumza na Ridhiwani Kikwete mara baada ya kumuombea kura 6 
mmoja wa waliokuwa wagombea wa jimbo la Chalinze katika mchujo ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Imani Madega akimuombea kura Ridhiwani Kikwete. 7 
Msaniki Sam wa Ukweli kushoto akiwa katika picha ya pamoja na mpenzi wa Chama cha Mapinduzi Bw. Mustafa Selemani. 8 
Mama Salma Kikwete Mke wa Rais na mjumbe wa Halimashauri kuu kutoka mkoa wa Lindi akiwahutubia wananchi katika mkutano huo. 9 
Mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka akiwahutubia wananchi wa Chalinze wakati wa mkutano huo. 10 
Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi akizungumza na kukaribisha baadhi ya viongozi katika mkutano huo. 11 
Mama Salma Kikwete Mke wa Rais na mjumbe wa Halimashauri kuu kutoka mkoa wa Lindi akimsikiliza mkuuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Meck Sadik. 13 
Kundi la muziki la TOT likitumbuiza katika mkutano huo. 14 
Wananchi waliojitokeza katika mkutano huo wakiwa wamebeba Picha za mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM Bw. Ridhiwani Kikwete. 15 
Malkia wa muziki wa Taarab kutoka kundi la TOT Khadija Omar Kopa kulia akiongoza kundi hilo wakati lililpokuwa likitumbiza katika mkutano huo leo. 16 
Marafiki mbalimbali wa mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Bw. Ridhiwani Kikwete waliojitokeza katika mkutano huo wakinyanyua juujuu mabango yenye picha zaRidhiwani Kikwete.
  17 
Cheki hili nyomi 18 
Mama Salma Kikwete Mke wa Rais na mjumbe wa Halimashauri kuu kutoka mkoa wa Lindi kulia, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati na mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete wakiondoka eneo la Mkutano mara baada ya kumalizika. 19 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati, Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi na Ridhiwani Kikwete wakitembea kwa miguu kuelekea eneo la mkutano uliofanyika viwanja vya Polizi mjini Chalinze leo. 20 
Mama Salma Kikwete Mke wa Rais na mjumbe wa Halimashauri kuu kutoka mkoa wa Lindi kulia akiselebuka pamoja na akina mama wana CCM mara baada ya kuwasili katika mkutano huo.
 (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHALINZE)

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate