EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Saturday, March 8, 2014

MATUKIO KATIKA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI NA TGNP‏


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo (aliyesimama) akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa TGNP-Mtandao, Bi. Usu Mallya (aliyesimama) akitoa mada kwa washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania. Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa TGNP-Mtandao, Bi. Usu Mallya (aliyesimama) akitoa mada kwa washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi (kulia) akichukua dondoo muhimu wakati wa uwasilishwaji mada anuai katika maadhimisho hayo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi (kulia) akichukua dondoo muhimu wakati wa uwasilishwaji mada anuai katika maadhimisho hayo.
Washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijumuika katika burudani huku wakionesha majarida anuai ya kupinga ukatili, unyanyasaji wowote wa kijinsia kwa wanawake nchini Tanzania. Washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijumuika katika burudani huku wakionesha majarida anuai ya kupinga ukatili, unyanyasaji wowote wa kijinsia kwa wanawake nchini Tanzania.
Baadhi ya washiriki anuai wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao wakifuatilia mada zilizowasilishwa katika maadhimisho hayo. Baadhi ya washiriki anuai wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao wakifuatilia mada zilizowasilishwa katika maadhimisho hayo.
Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijisajili kabla ya kujumuika na wenzao katika maadhimisho. Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijisajili kabla ya kujumuika na wenzao katika maadhimisho.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi (wa kwanza kulia) akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo akichukua dondoo muhimu. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi. Lilian Liundi (wa kwanza kulia) akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo akichukua dondoo muhimu.Baadhi ya washiriki wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Baadhi ya washiriki wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.Katika maadhimisho hayo baadhi ya wajasiriamali walijitokeza kuonesha bidhaa zao kwa washiriki. Katika maadhimisho hayo baadhi ya wajasiriamali walijitokeza kuonesha bidhaa zao kwa washiriki.Baadhi ya viongozi wa vyama anuai vya wanawake wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Baadhi ya viongozi wa vyama anuai vya wanawake wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate