Mkuu
 wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga (watatu kushoto) 
akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi Milioni 5 kutoka kwa
 Mkurugenzi wa Kiwanda cha Mega Trade Investiment ya jijini Arusha, Gudluck Kway 
 
 Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga (watatu 
kushoto) akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi Milioni 5 
kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kanda ya Kaskazini  wa Kampuni ya  Mega Trade
 Investiment ya jijini 
Arusha, Edmund Rrutaraka, kwaajili ya kusaidia waathirika wa kipunga 
katika Kijiji cha Kwatito. Katikati yao ni Mkurugenzi wa Masoko wa Mega 
Trade, Gudluck Kway na wafanyakazi wengine. 
Baadhi ya wafanyakazi wa Mega Trade Investiment wakishusha mabati hayo katika gari.
 Mkuu wa Wilaya ya Hai, Novatus Makunga akizungumza baada ya kupokea nsaada huo.
 Meneja Mauzo wa Kanda ya Kaskazini  wa Kampuni ya  Mega Trade 
Investiment ya jijini 
Arusha, Edmund Rrutaraka na Mkurugenzi wa Masoko wa Mega 
Trade, Gudluck Kway wakisalimiana na  wanakijiji wa Kwatito baada ya kuwakabidhi msaada huo wa mabati. 
Wananchi wakiwa na mabati yao baada ya kukabidhiwa.
 
 
 
 
 
 
 




 
No comments:
Post a Comment