Mke wa
 Rais nMama Salma Kikwete akipokewa na Rais wa Chama cha Wakunga 
Tanzania Ndugu Febby Mwanga mara alipowasili kwenye Uwanja wa Mnazi 
Mmoja kulikofanyika kilele cha maadhimisho ya siku ya wakunga duniani 
tarehe 5.5.2014.
Mke wa
 Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Ndugu Clavery Mpagama mara 
baada ya kuwasili Mnazi Mmoja kuhudhuria kilele cha siku ya wakunga 
duniani tarehe 5.5.2014.
Mke wa
 Rais Mama Salma Kikwete akipokea maandamano ya wakunga wakati wa kilele
 cha siku ya wakunga duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi 
Mmoja tarehe 5.5.2015.
Mke wa
 Rais Mama Salma Kikwete akimsalimi mtoto Rahim mwenye umri wa miezi 2 
akiwa na baba yake ndugu Amir Adam, 35, na mama yake Hamida (kushoto) 
walipompeleka kupata chanjo wakati wa sherehe za kilele cha siku ya 
wakunga duniani iliyoadhimishwa kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja 
tarehe 5.5.2014.
Mke wa
 Rais Mama Salma Kikwete akitembelea mabanda mbalimbali yaliyokuwa 
yakitoa huduma ya afya ya mama na mtoto wakati wa kilele cha cha sherehe
 za siku ya wakunga duniani iliyoadhimishwa kitaifa mkoani Dar es Salaam
 tarehe 5.5.2014.
Wakunga
 mbalimbali na wananchi wakifuatilia kwa karibu hotuba mbalimbali 
zilizokuwa zikitolewa na viongozi wakati wa kilele cha siku ya wakunga 
duniani tarehe 5.5.2014.
Mke wa
 Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wakunga na wananchi waliohudhuria 
sherehe za kilele cha siku ya wakunga duniani iliyofanyika kitaifa hapa 
nchini kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja tarehe 5.5.2014.
Mke wa
 Rais akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Wakunga 
Tanzania na baadhi ya wakunga waliohudhuria sharehe za kilele cha siku 
ya wakunga duniani tarehe 5.5.2014.Picha na John Lukuwi.
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment