Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei
akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi kisima katika Shule ya sekondari
Kinambeu iliyopo Singida. Kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka  taasisi isiyo ya kiserikali ya
Nkwamira, Noreen Mazalla. 
Mkuu
 wa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda akizungumza katika hafla ya 
kukabidhi visima vilivyotolewa na benki ya CRDB mkoani Singida.
 Mkurugenzi
 Mtendaji wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira, ambaye pia ni 
mratibu wa mradi huo, Noreen Mazalla akizungumza wakati wa hafla hiyo 
kukabidhi kisima katika Shule ya Sekondari Kinambeu mkoni Singida.
Kisima kilichochimbwa na benki ya CRDB kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kinambeu.
 Mkurugenzi  Mtendaji wa  Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei
(katikati) akizindua Kisima cha maji katika Shule ya Sekondari Kinambeu, wilaya
ya Iramba Mkoani Singida, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya
Iramba, Yahya Nawanda na Kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka  taasisi
isiyo ya kiserikali ya Nkwamira, Noreen Mazalla. 
 Mkurugenzi 
 Mtendaji wa  Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei
(katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda na Kushoto 
na kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka  taasisi isiyo ya kiserikali ya 
Nkwamira, Noreen Mazalla. 
 Mkurugenzi  Mtendaji wa  Benki ya CRDB, Dk. Charles
Kimei (kushoto), akizindua kisima cha maji katika Shule ya Sekondari Kinambeu
iliyopo katika Wilaya ya Iramba Mkoani Singida.
Mkurugenzi 
 Mtendaji wa  Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akimtwisha ndoo ya  maji
 mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinambeu, Joyce Zakaria, baada ya 
kuzindua kisima cha maji shuleni hapo. Hafla hiyo ilifanyika Mkoani 
Singida, mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi
 wa Shule ya Sekondari Kinambeu wakiimba nyimbo wakati wa hafla ya 
kukabidhi kisima kilichochimbwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya Shule 
hiyo.
Wanafunzi
 wa shule ya Sekondari Kinambeu wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya 
kisima walichokabidhiwa na Uongozi wa Benki ya CRDB. Katikati ni 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei 
 Ofisa
 Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela akizungumza na 
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Nkwamilla ambaye 
pia ni Mratibu wa mradi huo, Noreen Mazalla. 
Wanafunzi wa Shuke ya Sekondari Kinambeu wakitumbuiza kwa nyimbo.
 
 
 
 
 
 
 







 
No comments:
Post a Comment