| Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe katika maombolezo | 
| Askari polisi wakitoa nyumbani kwa mbunge Filikunjombe mjini Ludewa leo kuungana na wananchi kuomboleza | 
| Mbunge Filikunjombe kushoto akiwa na rafiki yake wakipata msosi | 
| Wananchi wa Ludewa wakimiminika nyumbani kwa mbunge Filikunjombe kushiriki maombolezo | 
| Msemaji upande wa Familia ya Filikunjombe mwalimu Dominic Haule akitambulisha msafara | 
| Rafiki mkubwa wa Filikunjombe mbunge wa jimbo la Mwibara Kang Lugola akisalimia | 
| Bw Tony akisalimia | 
| Wawakilishi wa wasomi wa vyuo vikuu nchini wakisema machache | 
| Msomi wa chuo kikuu akisalimia | 
| Msanii Kety kutoka Bongo Muvi akisalimia katika msiba huo | 
| Eneo la kusaini kitabu cha maombolezo | 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment