EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, June 9, 2014

MHARIRI MTENDAJI GAZETI LA JAMBO LEO AMEREMETA‏

Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Levina A. Mtei kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Anicetus M. Busagi akimtambulisha mkewe Levina A. Mtei kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
 Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi akiwa na mkewe Levina A. Mtei katika hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Lunch Time.

Mhariri Mtendaji Mtendaji Jambo Leo Apata 'Jiko'
Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi akilishana keki na mkewe Levina A. Mtei katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Anicetus M. Busagi na mkewe Levina A. Mtei wakipeleka zawadi ya keki kwa wazazi wa mkewe ikiwa ni ishara ya kuwashukuru wakwe zake.
Anicetus M. Busagi na mkewe Levina A. Mtei wakipeleka zawadi ya keki kwa wazazi wa mkewe ikiwa ni ishara ya kuwashukuru wakwe zake.
Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Bibi harusi, Levina A. Mtei akiwatambulisha ndugu jamaa na marafiki kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Anicetus M. Busagi kimtambulisha mkewe Bibi harusi, Levina A. Mtei akiwatambulisha ndugu jamaa na marafiki kwa wageni waalikwa katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Bi harusi Levina A. Mtei akiwa na msimamizi wake.
Bi harusi Levina A. Mtei akiwa na msimamizi wake.
Wasimamizi wa maharusi wakiandaa keki ya maharusi kabla ya zoezi la kulishana kuanza.
Wasimamizi wa maharusi wakiandaa keki ya maharusi kabla ya zoezi la kulishana kuanza.
Wanakamati wa harusi ya Anicetus Mwessa na Levina Athanas wakipata picha ya ukumbusho mara baada ya kuwakabidhi maharusi kitita cha shilingi milioni moja ikiwa ni zawadi kwa maharusi hao. Wanakamati wa harusi ya Anicetus Mwessa na Levina Athanas wakipata picha ya ukumbusho mara baada ya kuwakabidhi maharusi kitita cha shilingi milioni moja ikiwa ni zawadi kwa maharusi hao.
Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.
Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.
Wafanyakazi wenzake na Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwessa wakipata picha mara baada ya kuwazawadia maharusi. Wafanyakazi wenzake na Mhariri Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwessa wakipata picha mara baada ya kuwazawadia maharusi.
Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.
Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.
Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.
Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.
Jamani taratibu...tusije tukazimika ukumbini...! Konyagi oyeeeeeee...! Jamani taratibu...tusije tukazimika ukumbini...! Konyagi oyeeeeeee...!
Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara akisakata rumba eneo lake la kazi...! Furaha ikizidi ni hatari.
Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara akisakata rumba eneo lake la kazi...! Furaha ikizidi ni hatari.
Meza ya wazazi wa Levina Mtei.
Meza ya wazazi wa Levina Mtei.Wageni waalikwa. Wageni waalikwa.Ni wakati wa kufungua mvinyo maalum wa harusi.
Ni wakati wa kufungua mvinyo maalum wa harusi.
Mbwembwe za mfungua mvinyo...ni habariiiii...!
Mbwembwe za mfungua mvinyo...ni habariiiii...!
Baadhi ya wageni waalikwa wakipata picha ya kumbukumbu na bi harusi ukumbini.
Baadhi ya wageni waalikwa wakipata picha ya kumbukumbu na bi harusi ukumbini.
Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara (kulia) akisakata rumba na mmoja wa wageni waalikwa.
Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara (kulia) akisakata rumba na mmoja wa wageni waalikwa.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd, wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo, Juma Pinto akizungumza kwenye hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd, wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo, Juma Pinto akizungumza kwenye hafla hiyo.
Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, baadhi ya wageni waalikwa wakilisakata rumba...!
Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, baadhi ya wageni waalikwa wakilisakata rumba...!Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, mmoja wa wageni waalikwa (kulia) akisakata rumba...! 
 Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, mmoja wa wageni waalikwa (kulia) akisakata rumba...!

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate