Kama
ilivyo kwa tuzo zozote maarufu duniani, mara nyingi ma’MC wa show hizo
huwa wanapenda kumwaga maneno mengi sana ya utani, ila hii ni kali
zaidi, bila kujijua mwenyewe wakati akiwa anaendelea kutangaza, alitokea
kuwaponda watu maarufu duniani, akiwemo Kim Kardashian ambaye
anajulikana kama ni mwanamke mwenye umbo zuri zaidi, “I’ve seen
beautiful women here with butts that make kimkardashian‘s look like
Miley Cyrus.(“nimekuja hapa nimeona wanawake wenye maumbo mazuri,
yanavyomfanya Kim Kardashian aonekane kama Myle Cyrus”) – alitamka wazi
wazi MC wa tuzo hizo za MTV MAMA.
Watu wenye maumbo kama Wema Sepetu na
wanawake wengi wa huko nchini South Africa achilia mbali wageni
waaalikwa kutoka nchi mbali mbali za africa, kwa jinsi walivyo umbika
kwa asili ya maumbo yao ya ki-africa, yalimfanya hadi MC ambaye ndiye
mchekeshaji muigizaji maarufu huko hollywood maarufu kama Marlon Wayans,
ashundwe kujizuia na kutamka maneno kama hayo hadharani.
No comments:
Post a Comment