MWANAMUZIKI Estelina Sanga ‘Linah’ ambaye
kwa sasa yuko chini ya kampuni ya No Fake Zone ‘NFZ’ yenye makao makuu
yake nchini Afrika Kusini jana alizundua video ya wimbo wake wa kwanza
akiwa chini ya kampuni hiyo iliyotambulika kwa jina la Ole Tembah.
Uzinduzi huo uliambatana na futari aliyoandaa mwanamuziki huyo kwa wageni wa hafla hiyo wakiwemo watoto yatima.
Akizungumza na mtandao huu, Linah alisema kuwa amefarijika kuanza maisha mapya ya sanaa akiwa chini ya kampuni nyingine ambayo imemwahidi kumpa sapoti kubwa katika soko la kimataifa.
“Jambo ni kubwa sana kwangu, napenda nishukuru uongozi mzima wa THT kwa kunilea na kunifundisha muziki na sasa nayaona matunda yakem” alisema Linah.

(Picha/ Habari: Shakoor Jongo, Musa Mateja /GPL)
No comments:
Post a Comment