Floyd Mayweather ni miongoni mwa wanamichezo wanaoingiza pesa nyingi
zaidi duniani kupitia mchezo wa ngumi na udhamini wa makampuni tofauti.
Pia Floyd ni star anayependa kuonyesha matumizi ya pesa zake nyingi kama
alivyofanya kwenye siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake ‘ Doralie’ aka Bad
Medina. Flody amemnunulia gari aina ya Phantom Rolls Royce kama zawadi
ya Birthday yake.


No comments:
Post a Comment