EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Tuesday, July 15, 2014

USIKU WA MATUMAINI; TAMASHA NAMBA MOJA TANZANIA

MWAKA 2012, Tamasha la Usiku wa Matumaini (Night of Hope), lilikuwa kubwa sana, 2013 likatisha zaidi kutokana na muundo mzima wa burudani, jumlisha na historia iliyoandikwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete.
Staa wa Bongo Movie, Irene Uwoya.
Dk. Kikwete alikuwa mgeni rasmi, alizungumza na umati mkubwa uliohudhuria lakini hakuishia hapo, aliandika historia pale alipokagua wachezaji wa timu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Simba na Yanga, akasimama katikati ya uwanja na kupuliza kipyenga kuashiria kuanza kwa mchezo.
Haikuwahi kutokea kabla! Kile alichokifanya Rais Jakaya Kikwete kilithibitisha ubora wa Tamasha la Usiku wa Matumaini. Mahudhurio ya watazamaji na kila kilichochukua nafasi, kilisherehesha dhana kwamba Night of Hope ni tamasha kubwa kuliko lolote lile ndani ya nchi.
Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee, alipanda ulingoni na kuchapana masumbwi na staa wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper, msisimko mwingine ukawa kati ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Mara, Ester Bulaya ‘aliyebatuana’ na nyota mwingine wa filamu, Aunt Ezekiel.
Jacqueline Wolper.
Nani aliamini haya yangetokea? Mastaa wakubwa wa muziki Afrika Mashariki, Dk. Jose Chameleone, CMB Prezzo, Diamond Platinum, TMK Wanaume Halisi, Wanaume Family, Chid Benz, H-Baba na wengine wengi  wameshabadilishana kipaza sauti ndani ya Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa miaka miwili mfululizo.
Bendi za FM Academia, Msondo Ngoma na Sikinde, zimeshafanya makubwa katika upande wa muziki wa dansi, Mzee Yusuf ‘Mfalme’ na Kundi la Jahazi Modern Taarab pamoja na Khadija Kopa ‘Malkia’ akiwa na timu yake ya Tot Taarab, wameshafanya mambo mazito katika tamasha hilo misimu iliyopita.Jose Chamelione.
Isisahaulike mechi ya soka baina ya mastaa wa Bongo Movie na Bongo Flava, huku upande wa muziki wa Injili, waimbaji wakubwa kutoka ndani na nje ya nchi, wakifikisha neno la kumtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji.
HESHIMA YA MWAKA 2014
 Tamasha la Usiku wa Matumaini mwaka 2014, linatarajiwa kufanyika Agosti 8, yaani Nanenane ambayo ni Sikukuu ya Kitaifa ya Wakulima, tofauti na miaka iliyopita ambapo Night of Hope ilifanyika Julai 7, yaani Sabasaba ambayo ni Sikukuu ya Kitaifa ya Maonesho ya Biashara.
CMB Prezzo.
Mabadiliko haya yametokana na ukweli kwamba Sabasaba ya mwaka huu, imeingiliana na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kwa hiyo kamati ya maandalizi ya Night of Hope iliketi na kuamua tamasha hilo lifanyike Nanenane, kwa heshima ya waumini wa Dini ya Kiislamu.
Mwaka huu, tamasha limeboreshwa sana kwa upande wa burudani. Msanii anayechanua vizuri kutoka Nigeria, Yemi Alade, anayetamba na wimbo wake Johnny, atakutana na Watanzania na kufanya shoo ya kiwango cha juu.
Ipo mechi ya wabunge, Simba dhidi ya Yanga, wasanii wa Bongo Flava kuchuana na Bongo Movie. Mastaa wa filamu, Irene Uwoya na Jacqueline Wolper watachapana makonde. Supastaa Wema Sepetu atawapa raha Wabongo kwa kuimba nyimbo za boy friend wake Diamond pamoja na burudani nyingine kibao. Hakuna tamasha kama Usiku wa Matumaini.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate