Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na viongozi wa madhehebu mbalimbali wa
dini ya Kiislamu katika futari aliyowaandalia ikulu jijini Dar es
salaam.
Kadhi
Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi
Mnyasi (mwenye kipaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais
Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya
Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam
Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhaj Mussa Salum (aliyesimama
kushoto), akitoa neno la Shukurani baada ya futari aliyoandaa Rais
Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya
Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam.
Sehemu
ya waliohudhuria katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini
Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru viongozi wa madhehebu mbalimbali wa
dini ya Kiislamu kwa kuhudhuria katika furari aliyowaandalia ikulu
jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment