Wabrazil, Andrey Coutinho na Jaja (nyuma yake) wakijifua na wachezaji wenzao wa Yanga.
Jaja akiwa mbele ya wachezaji wenzake.
Ilifikia wakati wa kuzunguka uwanja.
Mazoezi yakiendelea.
Jaja ‘akiyasikilizia’ maji ya Bongo.
…Akiendelea kujifua.
Maximo akihakikisha mazoezi yanafanywa vilivyo.
Jaja akiwa mbele ya wachezaji wenzake.
Ilifikia wakati wa kuzunguka uwanja.
Mazoezi yakiendelea.
Jaja ‘akiyasikilizia’ maji ya Bongo.
…Akiendelea kujifua.
Maximo akihakikisha mazoezi yanafanywa vilivyo.
TIMU ya Yanga leo
iliendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Loyola
jijini Dar es Salaam chini ya Kocha, Marcio Maximo, ambapo mshambuliaji
mwingine wa Kibrazil, aliyekuja kukipiga kwenye kikosi hicho, Genilson
Santana Santos 'Jaja', naye aliungana na kikosi hicho kujifua. Jaja
alionesha nidhamu ya mazoezi kwenye kikosi hicho hasa pale alipokuwa
akiendelea kujifua peke yake wakati wenzake wakiwa kwenye mapumziko.
(PICHA : RICHARD BUKOS / GPL)
No comments:
Post a Comment