Mkurugenzi
 wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama, akizungumza na waandishi wa 
habari kwenye kituo cha polisi cha Urafiki wakati akitangaza kukamatwa 
kwa watuhumiwa 17 kwa kurudufu
 kazi za wasanii kinyume na utaratibu yaani kazi feki katika jiji la Dar
 es Salaam na baadhi ya mikoa ambapo kazi feki za wasanii zilizokamatwa 
thamani yake ni shilingi milioni 12, Kulia ni ASP Denis Moyo mkuu wa 
upelelezi wa kituo hicho ambaye amesema amethibitisha kukamatwa kwa 
watuhumiwa hao ambao wanasubiri kupelekwa mahakamani.
Alex Msama na Denis Moyo wakionyesha CD feki zilizokamatwa jijini Dar es Salaam.
Msama akionyesha mashine ya Photocopy inayotumiwa kurudufu CD hizo.
Msama na Denis Moyo wakionyesha CD feki zilizokamatwa.
Msama akifafanua zaidi kuhusu wizi huo.
Kituo cha polisi cha Urafiki.
(PICHA NA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)






No comments:
Post a Comment