EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Thursday, August 21, 2014

WANAWAKE WA-IRAN WAFUNGISHWA NDOA NA IMAM SHOGA SWEDENShoga, Imam Zahed akiwafungisha ndoa Maryam Iranfar (mume mwenye mtandio) na Sahar Mosleh (mke).

Maryam Iranfar (kushoto) akimbusu mkewake, Sahar Mosleh.


Maryam Iranfar, Sahar Mosleh wakiwa na nyuso za furaha baada ya harusi.

Imam Zahed (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wapenzi hao baada ya kuwafungisha ndoa.
WAKIWA nyuso za furaha, wanawake wawili, wananchi wa Iran, Sahar Mosleh na Maryam Iranfar hatimaye walifunga ndoa huko Stockholm, Sweden, kama mume na mke baada ya miaka tisa ya kuishi pamoja.
Wawili hao  waliikimbia nchi yao ya Iran ambayo ina sheria kali dhidi  ya mapenzi ya jinsia moja.
Ukiachana na umbali wa kutoka kwao hadi Sweden, madada hawa waliokutana kwenye mtandao walikuwa huru kufurahia siku yao hiyo kubwa huko Sweden ambapo harusi ilifanyika.
Maryam Iranfar ambaye ndiye mwanamme anatarajiwa kupata mtoto na Sahar Mosleh (mkewe) ambaye ana ulemavu wa mifupa, walifungishwa harusi na Iman Ludovid Mohamed Zahed ambaye pia ana mahusiano ya kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Imam huyo anayeishi  Afrika Kusini na ambaye ni raia wa Algeria anayefahamika sana katika jamii ya mashoga na wasagaji katika nchi za Kiislamu, alisema amefurahi kuona wanaharusi hao wakiwa na furaha na kufanya jambo zuri la kuamua kuishi maisha  huru katika nchi za watu.
“Nashukuru kwa harusi  nzuri kama hii iliyoniwezesha kuwabariki wanandoa hawa, ” alisema Imam huyo.
 Kama wangekuwa nchini kwao Iran ambayo ina sheria ya kupigwa bakora hamsini  mara tatu  kila wanapokutwa na mahusiano hayo,  na ambapo mara ya nne huwa ni adhabu ya kifo, wanadada hawa wasingewezeshwa kufunga harusi  hiyo.
 “Nimefurahi pia kuona wanadada hawa wameanzisha familia yao baada ya miaka mingi ya mateso kwani ni vigumu kusafiri umbali mrefu kutoka nyumbani na kuja nchi za watu na kuanza maisha kwa pamoja,” alisisitiza imam huyo.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate