Bondia maarufu wa kike mwafrika barani ulaya, Bintou Yawa Schmill 'The Voice'.
BONDIA
maarufu wa kike mwafrika barani ulaya Bintou Yawa Schmill 'The Voice'
anatarajiwa kupanda ulingoni tarehe 26 September 2014, atapambana na
bondia Mirjana Vujic katika ukumbi wa Stadthalle/ Saalbau
Frankfurt-Nied, Mjini Frankfurt ujerumani.


No comments:
Post a Comment