EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Saturday, September 13, 2014

URAIS 2015: MASTAA WAWATAJA MARAIS

Na Shakoor Jongo
TANZANIA mwakani itaingia kwenye Uchaguzi Mkuu 2015, rais atakayeingia madarakani kuiongoza nchi atajulikana hapo huku tayari baadhi ya wanasiasa wametangaza nia ya kugombea, wengine wanatajwatajwa kufanya hivyo.
Baadhi ya viongozi wanaotabiriwa na Mastaa wa Bongo Movie kuwa marais kwenye Uchaguzi Mkuu 2015
Sasa kuelekea uchaguzi huo ambao pia utajumuisha ubunge na udiwani, baadhi ya mastaa Bongo wamefunguka kuhusiana na nani wanayempenda awe rais katika kinyang’anyiro hicho.Wafuatao ni baadhi ya mastaa ambao walizungumza juzi na Risasi Jumamosi wakiweka wazi nani wanamkubali kuiongoza Bongo baada ya Rais Jakaya Kikwete ‘JK’ kumaliza muda wake.
Kulwa Kikumba ‘Dude’;
“Mimi kwangu zaidi ya wote ni Mizengo Pinda (waziri mkuu). Huyu ndiye chaguo langu kwa kweli.”

Yobnesh Yusuph ‘Batuli’;
“Mimi sina mengi ya kuongea ila natamani Bernard Camillius Membe (waziri wa mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa, CCM) awe rais wa nchi hii, nitafurahi sana Mungu akijalia hivyo.”
Baadhi ya mastaa wa kike waliotabiri viongozi.
Abdul Sykes ‘Dully Sykes’;
“Dah! Umeniuliza swali la msingi sana, kama ulikuwepo kwenye ndoto zangu kwani nilikuwa natafuta wapi pa kusemea. Unajua Lowassa ni rafiki wa Kikwete, pili ni mpambanaji mzuri, tatu ni ‘brazamen’ mwenzetu. Anafaa kuwa prezdaa!”
Esha Sali Buheti;
Kwa upande wake, Esha alisema achana kabisa na Lowassa kwani ndiyo tumaini la wanyonge wote wa nchi hii.
Issa Musa ‘Cloud 112’;
“Kiukweli mimi hadi sasa niko njia panda kati ya hawa watu wawili, Lowassa na Membe kwani wote wana faida kubwa kwangu, ukija katika suala zima la kazi yangu Membe amenisaidia sana.
“Vilevile Lowassa ametoa mchango mkubwa sana katika sanaa hapa nchini lakini kubwa zaidi na linalonisuuza roho yangu ni pale ukiachana na imani yake ya Ukristo lakini anasaidia hata Waislam, aliwahi kusimamia vitabu vya Shehe Mkuu wa Tanzania, Isa Bin Simba.”
Jacqueline Wolper ‘Jack’;
“Membe na Lowassa mmh! Hapa niache kwanza nifikirie. Lakini Lowassa da! Anyway, ngoja nifikirie kwanza.”
Baadhi ya mastaa wa kiume.
Steven Mengele ‘Steve Nyerere’;
Huyu hakupatikana mwenyewe kumtaja mtu anayemwona anafaa kuwa rais, lakini watu walio karibu naye wanadai yupo upande wa Membe, wengine wanasema anamkubali Lowassa.
Kwa upande wake Mahsein Awadhi ‘DK Cheni na Wema Sepetu licha ya kutokupatikana hewani lakini wanatajwa kuwa upande wa Lowassa.
Mbali na waliotajwa na mastaa hao, wengine ambao wanadaiwa kugombea urais mwakani ni Hamis Andrea Kigwangalla (Mbunge wa Nzega, CCM) na January Yusuf Makamba (naibu waziri wa sayansi na teknolojia na Mbunge wa Bumbuli, CCM). Hawa wametangaza nia.Wengine ni Samuel John Sitta, John Pombe Magufuli, William Mganga Ngeleja na Steven Masatu Wassira. Hawa wanatajwatajwa, hawajatangaza nia.
CHANZO: GPL

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate