Miss Tanzania 2014: Decoration 100% okay
Stage Performance:20%
Miss 2014 :Sitti Mtemvu ???? (nakuachia wewe)
Wanne Star ameboa watu, shindano la Miss Tanzania unafundisha music za ki Nigeria???
Hivi unafikiri kwanini watu wengi sana 90% hawamkubali Miss Tanzania 2014???
Ila Lundenga safari hii kaamua yake, yaani katukomesha kweli kweliiii tunasema havache
je hundi
imetolewa ya 10 mil na 8 jeeee?? kwakuwa hundi si cash kwanini
wasingemalizana hapo hapo mtoto wa watu akaenda ku deposit baada ya 2
days akapa chake?? kuna ulakini
Toa maoni yako kuhusiana na shindano hili, mshindi, na Team nzima ya Miss Tanzania
MAONI YA SINTA BLOG
No comments:
Post a Comment