Muigizaji
wa filamu nchini, Nuru Nassoro maarufu kama Nora anaweza akawa ameshaongeza
matatizo mengi kuyazidi 99 ya Jay Z.
Kwenye kipindi cha hivi karibuni cha Mkasi, Salama Jabir alimuuliza swali gumu
kwake la kuwataja wasanii wa filamu wanaofaa na wasiofaa. Nora alikataa kutaja
akijitetea kuwa hataki beef na mtu lakini watangazaji wa show hiyo
walimrahisishia kazi na kuanza kuwataja ‘randomly’ waigizaji mbalimbali na
kumtaka aseme tu kama wanafaa ama hawafai.
Hivyo
ndivyo alivyojibu na kuwapa makavu live anaohisi wanafaa kurudi ‘kuflip burger’
na kuacha kuigiza.
Kajala
– Hapana
Batulli – Hamna kitu
Steve Nyerere – Hapana
Wema Sepetu – Yeah anafaa
Rose Ndauka – Anafaa vibaya mno
Wolper – anajaribu… anafaa
Aunt Ezekiel – Hamna Kitu
JB – Anaweza
Hemed – Anaweza
Mlela – Hapana
Lulu – Ndiyo
Irene Paul – Anaweza
Chuchu Hans – Hamna Kitu
Batulli – Hamna kitu
Steve Nyerere – Hapana
Wema Sepetu – Yeah anafaa
Rose Ndauka – Anafaa vibaya mno
Wolper – anajaribu… anafaa
Aunt Ezekiel – Hamna Kitu
JB – Anaweza
Hemed – Anaweza
Mlela – Hapana
Lulu – Ndiyo
Irene Paul – Anaweza
Chuchu Hans – Hamna Kitu
Unakubaliana
na Nora?
No comments:
Post a Comment