EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Tuesday, November 18, 2014

LAVEDA: SIJAWAHI KUJICHUA BIG BROTHER

Srori: Shani Ramadhani
ALIYEKUWA mwakilishi wa Tanzania katika Big Brother Africa Hotshots, Irene Laveda wiki hii alikuja na kufanya mazungumzo katika chumba chetu cha habari.Katika mahojiano maalum, Irene alizungumza mambo mbalimbali kama alivyonukuliwa na Global tv online.
La Veda wakati wa Exclusive Interview na Global TV Online.
Kwa sasa msichana huyo amedhamiria kufanya kweli katika muziki na filamu ili kujiimarisha kisanaa. Ifuatayo ni sehemu ya mahojiano hayo ambayo pia yanapatikana katika tovuti ya www.globaltvtz.com. ; Mwandishi: Safari yako kuelekea Big Brother Africa ilikuwaje?Laveda:  Nilienda kwenye usaili kama watu wengine na tulikuwa wengi sana, wengine watangazaji maarufu, nilichaguliwa kutokana na kuwa na sifa zote.
Mwandishi: Vipi kuhusu video yako iliyonaswa ukijichua?          
Laveda: Sijawahi kufanya hivyo wala kufanyia mtu mwingine, hapa kinaongelewa kitu ambacho hakijaonwa, mimi niko hapa wiki ya ngapi sijui, hizo video zinatafutwa hazijapatikana, sidhani kama kweli Big Brother watazuia kuonesha hizo clips, waliokuwa wananiongelea mimi wanatoka nchi zingine na alishaniona nina kipaji tokea siku ya kwanza, nilikuwa nina asilimia 85 na kiongozi na ukiwa kiongozi lazima utakuwa ‘nominated’.

La Veda akiwa na Saxaphone yake wakati akifanyiwa Exclusive Interview kwenye studio za Global TV Online jana.
Mwandishi:  Je, kushiriki Big Brother ni udhalilishaji?            
Laveda: Huu ni mwaka wa tisa sasa mashindano haya yanafanyika na hayawezi kufanyika bila nchi husika kuruhusu, ingekuwa ni udhalilishaji yasingefanyika, maana tunapokwenda pale tunawakilisha nchi isipokuwa pale unakuwa kikazi na kutumia kipaji chako kwa sababu yale ni mashindano.

Mwandishi: Kuna changamoto gani Big Brother?         
Laveda:  Changamoto zipo, kuna vitu vingi watu wanakwambia kabla hujaingia, lakini ukiingia unakuta vitu tofauti kabisa.

La Veda akipozi na mama yake mzazi, Mecky Vedastous ndani ya studio za Global TV Online zilizopo ndani ya Global Publishers.
Mwandishi: Mtu anawezaje kupata nafasi ya kushiriki  katika jumba hilo?              
Laveda: Mtu yeyote  anayeamini ana vigezo anaweza kwenda, unafanya usaili kama watu wengine wamefanya zaidi ya mara moja na wakafauli mara ya tatu, mashindano hayana kanuni kwa hiyo nawasapoti vijana wote wanaotaka na wazazi wao wawasapoti kwa sababu hakuna kitu kibaya pale ili mradi uwe umezidi miaka 21 na unajitambua.

La Veda akipozi na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul.
Mwandishi: Unamzungumziaje Miss Tanzania 2014 ambaye amevua taji kwa tuhuma za kudanganya umri?          
Laveda: Nimekuwa ‘surprised’ sana, nimetoka ndiyo nikasikia Miss Tanzania yuko na furaha lakini sijaelewa kwa nini taji limechukuliwa kwa sababu ya umri wake, miaka 23 - 25 bado ni mdogo na ana sifa zote na Miss World, bado anaenda akiwa na umri hata miaka 26-27, pia ningependa kusema vyombo vya habari vya Tanzania vinatakiwa kupromoti zaidi uzalendo.

Mwandishi:   Vipi kuhusu kufanya shoo yako ya Reality?    
Laveda: Niko kwenye mpango huo lakini ni  baadaye, kwa sasa nataka kufanya kazi zangu za muziki na filamu kwanza.

...Akipozi na Mhariri wa Gazeti la Championi Ijumaa, John Joseph.
Mwandishi: Wewe ni mpenzi wa mpira wa miguu?              
Laveda:  Ndiyo. Mimi ni mpenzi wa Kombe la Dunia, Twiga na Taifa Stars zote nazipenda, nasapoti pia Yanga na Simba japo bado sijazijua vizuri lakini nje ya hapo naipenda timu ya Ghana, inajitahidi, nina matumaini na Tanzania tutafika kombe la dunia tukiweka juhudi.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate