Picha, Diamond Kwenye Video Na Model Wa Kizungu.#BongoInstagram
Ukisikia Mind Games ndio hii Diamond
anafanya na mashabiki wake, Usiku wa kuamkia Nov 17 alitumia instagram
kuweka picha akiwa na model anayeaminika kuwepo kwenye video yake mpya.
Ujumbe ulioambatana na picha hii ulikuwa 'Bahari ishachafuka ndugu zangu ntafutieni mfuko nitapike '
Imeaminika kuwa video hii imeshafanyika na kinachosubiriwa ni bahari kutulia ndio video itoke.
No comments:
Post a Comment