Umati wa watu waliohudhuria Tamasha la After School Bash eneo la Escape One jana.
Mashabiki wakiwaangalia wanafunzi waliokuwa wakionesha vipaji jukwaani.

Wasanii wa Kundi la Makomandoo wakionesha makeke yao jukwaani.
Wasanii kutoka TMK Wanaume Family, Mhe .Temba na Chegge wakitumbuiza wakati wa tamasha hilo.
Msanii Rich Mavoko akikamua jukwaani.
Mashabiki wakifuatilia burudani.
Mwanamuziki Tid 'Mnyama' akicheza na shabiki jukwaani.
Mtangazaji wa Clouds FM, Shadee akiwasherehesha mashabiki.
Mashabiki
walishinda kwa kufanana na wasanii wakiwa kwenye pozi na Adam Mchomvu
(kushoto). Kutoka kulia ni shabiki aliyefananishwa na Ngwea na katikati
ni Diamond.
TAMASHA la After School Bash lililoandaliwa na Clouds Fm limeacha
historia ndani ya Escape One, Mikocheni jijini Dar jana kutokana na
bururdani za aina yake zilizokuwepo.
Wakali kibao wa muziki wa hapa nchini walihudhuria na kutoa burudani
ya kufa mtu na kuzikongga vilivyo nyoyo za umati wa mashabiki
waliofurika katika eneo hilo.
No comments:
Post a Comment