EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Thursday, December 11, 2014

MAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM DESEMBA 10-2014.‏

 Blass Bend ya Jeshi la Polisi ikiongoza maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani  na Miaka 66 ya Tamko la Kimataifa la Haki za Binadamu. Maandamano hayo yaliyoanzia Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima hadi Makumbusho ya Taifa  Dar es Salaam leo asubuhi  yaliandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)
 Maandamano yakiendelea barabara ya Ohio
 Maandamano yakiingia Makumbusho ya Taifa barabara ya Shabani Robert.
 Wanaharakati Rose Mwalongo na Halord Sungusia wakipeana hi baada ya maandamano hayo kuwasili viwanja vya Makumbusho ya Taifa.
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Ezekiel Masanja akitoa hutuba katika maadhimisho hayo. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya LHRC, Profesa Geofrey Mmari.
 Wawakirishi wa mashirika mbalimbali wakiwa kwenye maadhimisho hayo.
 Mwanasheria wa LHRC, Halord Sungusia akitoa mada katika maadhimisho hayo.
 Wanakwaya wa Kwaya cha Mwalusanya ambao wapo chini ya LHRC wakitoa burudani za nyimbo za uhamasishaji. Maofisa wa LHRC wakiwa kwenye maadhimisho hayo. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Ujengaji Uwezo na Uwajibikaji, Imelda Urio.
 Wadau mbalimbali na wanafunzi wakiwa kwenye 
maadhimisho hayo.
  Wadau mbalimbali na wanafunzi wakiwa kwenye maadhimisho hayo.

 Wanafunzi wakiwa kwenye maadhimisho hayo.

Dotto Mwaibale

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kiwango cha elimu ya haki za binadamu nchini bado kipo chini hali inayosababisha kukithiri kwa makundi ya ukatili wa kinjia nchini.

Kufuatia hali hiyo kituo hicho kinaishauri Serikali kujumuisha elimu ya haki za binadamu kwenye mfumo wa elimu rasmi inayotolewa nchini ili kupanua uelewa kwa jamii.

Hayo yamesemwa Dar es Salaam leo na Kaimu Mkurungezi Mtendaji wa kituo hicho, Ezekiel Masanja wakati wa hitimisho la siku kumi na sita za kupinga ukatili wa kijinsia duniani.

Akitoa takwimu za nusu mwaka dhidi ya vitendo vya ukatili wa jinsia Masanja alisema wanawake na wasichana 2878 walibakwa, vilvile vitendo vilivyoripotiwa polisi nchi nzima ni 3,633.

''Ukatili upo katika makundi mbalimbali kama vile mauaji ya vikongwe, albino watoto kubakwa lakini, ukatili, unyanyasaji ambao mara nyingi unafanywa na ndugu jamaa wa karibu ambao sio rahisi kuwatambua kwa haraka,'' alisema.

Aliongeza kuwa kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi iliyofanyika mwaka 2012 idadi ya watanzania waliopata elimu rasmi ni zaidi ya milioni 14 kati yao watu ni zaidi ya milioni 11 wamehitimu elimu ya msigi, wenye elimu ya chuo kikuu ni zaidi ya laki tatu  3.3.

"Hali hii inabainisha watu walio na elimu ya dhidi ya haki za binadamu ni wachache ukilinganisha na mahitaji changamoto inayotokana na mifumo ya elimu rasmi inayotolewa nchini ,"alisema.

Akizungumzia kura ya maoni inayotarajiwa kupigwa mwakani alisema wananchi bado hawana uelewa wa kutosha dhidi ya katiba inayopendekezwa.

"Naiomba Serikali kutoa mwamko kwa wananchi kwa kusambaza kopi nyingi za rasimu inayopendekezwa kusudi kuwasaidia wananchi kuelewa nini wanaenda kupigia kura , "alisema. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com)

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ Redd’s Miss IFM REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate