KWENU
wauza sura katika video mbalimbali Bongo (video queens), najua mpo
wengi lakini pengine labda niwataje wachache ambao mna majina makubwa;
Agness Gerald ‘Masogange’, Rehema Fabian, Husna Maulid na Lulu ambaye
umeonekana juzikati katika video ya msanii wa Bongo Fleva, Y-Tone,
Shitobe.
Bila shaka mko poa na mnaendelea na maisha yenu ya kila siku. Mkitaka
kujua hali yangu, mimi niko poa, naendelea na maisha yangu na kazi
zangu kama kawaida kusahihisha wale ambao hawaendi kwenye mstari kama
nyinyi.
Suala la nyinyi kurekodiwa picha za utupu limekuwa kama desturi.
Mnarekodiwa video za utupu au kupiga picha za utupu kisha kuzisambaza
(kusambazwa) katika mitandao ya kijamii.
Tena mara nyingi wanaowarekodi huwa wanakuwa ni wapenzi wenu, sijajua mnawaamini kuwa watatunza siri au vipi?
Dada zangu, hata kama mnapiga hizo picha kwa lengo la kupata umaarufu
lakini niwaambie tu, mnajidhalilisha. Kwanza mnajidhalilisha nyinyi
wenyewe, mnawadhalilisha wanawake wenzenu ambao wanawaona kwenye
mitandao mbalimbali mkiuza utu wenu.
Nawasikitikia maana mnaonekana hamjitambui. Mmepewa maumbo mazuri,
muonekano ambao mnaweza kuutumia katika tasnia ya urembo au hata
utangazaji na mkapata fursa kibao za mafanikio. Badala yake mnaamua
kujishusha thamani kiasi hicho.
Nani aliyewaroga? Elimu ya matumizi ya mitandao mbona inatolewa kila
siku? Halafu mwenzako akinyolewa na wewe si unapaswa kutia maji za
kwako? Haiwezekani tuliona kwa Masogange, Rehema, Husna bado tena
kabinti kawatu kutoka Mbeya (Lulu) nako kakafanya hivyohivyo.
Mi sitaki kuamini kwamba zinavuja kwa bahati mbaya, tatizo langu
linaanzia pale mnapojipiga au kukubali kupigwa. Mnajipiga au kupigwa za
nini? Kuna faida gani kujipiga? Hakuna haja ya kujipiga utupu hata kama
ni biashara bwana mbona mnaweza kupata biashara pasipo kujipiga picha za
utupu.
Igeni mifano kutoka kwa nchi za wenzetu ambao wametangulia katika
masuala ya urembo, miili yenu ni biashara lakini ishu inakuja tu kwamba
mnaitumiaje? Kuna dili nyingi siyo lazima kujidhalilisha. Kuna dili za
matangazo mbalimbali ambayo mnaweza kutumika kupamba mabango, mkaingiza
fedha nzuri tu.
Kuna uigizaji, kuna utangazaji, kuna vitu vingi tu ambavyo kimsingi
mtu ukiweka nia, hakika mnaweza kufanikiwa kupitia mwili wako. Hasara
kubwa ambayo mtu unaweza kukumbana nayo katika mitandao, siku hizi
ukishaingiza picha chafu basi itakugharimu maisha yako yote.
Vizazi na vizazi vitashuhudia uchafu ulioufanya ukiwa kijana. Wanao
na hata wajukuu wataweza kuona madudu yako uliyoyafanya kupitia
mitandao, usikubali kurekodi wala kurekodiwa.
Kwa leo ni hayo tu.
Wasalaam,
Erick Evarist
Wednesday, December 17, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HABARI MBALIMBALI
‘Dk. Cheni’
‘Sharo Milionea
‘Thea’
African Women
AGNESS MASOGANGE
AK CLASSIC COSMETICS
ALI KIBA
Amanda Poshy
Ant
ANT LULU
Ashley Toto
Aunt Ezekiel
Aunty Ezekiel
AUNTY LULU
Azam Fc
Baby Madaha
BAHATI BUKUKU
Barnaba
BATULI
BBA
Beauty of the day
Belle 9
BI KIDUDE
BIBI BOMBA
Big Brother
Big Brother Africa
Bill Gates
BINTI KIZIWI
BOB JUNIOR
Bodi ya Filamu
Bongo Movie
Bongo Movies
CCM
CHADEMA
Chombezo
Christina Shusho
Chuchu hans.
Clouds Media Group
Club Bilicanas
DAR LIVE
DAVINA
Dayna Nyange
Diamond
Dida
Diva Loveness Love
Dj Ommy Crazy wa Maisha Club
DOGO JANJA
DOKI
DR.CHENI
DSTV
Dude
Dully Sykes
EBSS 2013
Elizabeth Michael
Epiq Bongo Star Search (EBSS)
ESHA BUHETI
Ester Bulaya
Feza Kessy
FIESTA 2014
Flaviana Matata
FLORA MBASHA
FLORA MVUNGI
Francis Cheka
GARDNER
GLOAL PUBLISHERS
GLOBAL TV ONLINE
H. BABA
Halima Mdee
HAMISA
Happy birthday
Hemedi
Hemedy Suleiman
HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
Hoyce Temu
Huddah Monroe
HUSINA
IRENE PAUL
Irene Uyoya
ISABELLA
J film 4 life
Jack Chuz
JACK PATRICK
Jacob Steven ‘JB’
Jacqueline Dustan
JACQUELINE WOLPER
Jaji Khamis 'Kashi'
Jay Dee
JENNIFER KYAKA (ODAMA)
JIDE
JINI KABULA
JK
JO
Johari
Jokate Mwigelo ‘Kidot’.
JOTI
Joyce Kiria
Joyce Kiwia
JUX
K-LYNN
KADINDA
kaja
Kajala Masanja
Kapotive Star Singers
KATUNI
Kemmy
Kero Zetu
KHADIJA OMAR KOPA
KIKWETUKWETU
KILI MUSIC AWARDS
KOLETA
Lady Jay Dee
Lady Jaydee
Lake Oil
LAVEDA
Linah Sanga
Linex
Lisa Jensen
Loveness Diva
Lucy Francis Komba
Lulu
M2 The P
MABILIONEA
Madam Rita
MADELA
Magazeti
Mahusiano
Maimartha Jesse
MAINDA
MAISHA
Makala
Malkia Elizabeth
MAMTEI
MANDELA
MARIAM ISMAIL
Masanja Mkandamizaji
Mashindano ya Miss Tanzania
Matangazo
Matonya
MaxMalipo
MAYA
MELLIS EDWARD
MENINAH
MGOSI MKOLONI
Mh Halima Mdee
mic
Michezo
MILLEN HAPPINESS MAGESE
MISS CHANG'OMBE
MISS DAR CITY CENTER
Miss East Africa
MISS REDD'S IRINGA 2013
MISS TANGA 2013.
MISS TANZANIA 2014
Miss Tanzania mwaka 2011
MISS TEMEKE 2014
MISS USTAWI
MISS UTALII TANZANIA 2012/13
Miss vyuo vikuu 2013
MKALA
MREMBO HUDDAH
Mrisho Mpoto
Mrisho Ngassa
MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES.
MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013
Mtitu
muziki
Mwana FA
MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Mzee Majuto
Nancy Sumari
Nani Mtani Jembe?
NAPE
Nassoro ‘Nora’
Natasha
Nay wa Mitego
Necta
Nelly Kamwelu
NEY WA MITEGO
Nisha
NSSF;Zantel
Nyamwela
NYimbo
Nyota yako
OBAMA TANZANIA
OMMY DIMPOZ
P FUNK
PAM D
Peniel Mgilwa ‘Penny’
PETIT MAN
Profesa Jay
Q - CHILA
Q Boy
Q Chilla
QUEEN DARLEEN
RACHEL NDAUKA
RAIS KIKWETE
Rais Kikwete.
Rasimu Ya Katiba TZ
Ray
Ray C
Redd’s Miss IFM
REDD'S MISS KAGERA 2013
REDD'S MISS TZ
REDDS MISS TANZANIA 2014
Redds Miss wa Mikoa
REHEMA FABIAN
RICHIE RICHIE
Rihanna
ROSE MUHANDO
Rose Ndauka
Ruge Mutahaba.
SABASABA 2013
Saida Karoli
Saikolojia
Sajeti
SAJUKI
Sandra
SHAA
Shamsa Ford
Sheikh Ponda
Shilole
Sintah
Siwema
Skin Tricks
Snura Mushi
Spika Makinda
staa
Staa Wetu
Stella Mwangi
STYLE ZA NYWELE
Taifa Stars
Tamasha la matumaini
TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013
Tangazo
TANZANIA
TEGO
TENGENEZA WEBSITE NA BLOG
TID
Tundaman
Tupo wangapi?
TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Twanga Pepeta
USA PAGEANT 2014
VAI
Wastara
WEMA
WEMA SEPETU
Yanga
Yanga Bingwa 2013
YOUNG D
Yvonne Cherry ‘Monalisa’
Z Anton.
Zari
Zito kabwe
No comments:
Post a Comment