 
Msanii wa filamu Bongo anayechipukia, Asia Morgan.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Asia ambaye alitengana na 
Slim akimtuhumu kuwa na wivu wa kupindukia, alisema licha ya kudai 
talaka mahakamani Slim amekuwa mzito kuitoa hivyo dawa yake ni yeye 
kumpa.“Unajua mimi na Slim tusingeachana kwa malumbano kiasi hiki yeye ndiyo chanzo sasa kwa kuwa anagoma kuniandikia takala yangu, nitamuandikia yeye ili tuondoe mzizi wa fitna,” alisema Asia.
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment