Wachezaji wa timu ya Atletico Madrid wakishangilia dakika ya 58 kipindi cha pili baada ya Raul Garcia
kushinda bao la kwanza dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa kwanza
Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Mfalme 'Copa del Rey' Uwanja wa Vicente
Calderon usiku wa kuamkia leo.
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Fernando Torres (kulia) akifanya yake mechi yake ya kwanza kuichezea Atletico Madrid.
Gareth
Bale (kushoto) na Cristiano Ronaldo (kulia) wakiwa kati kati ya uwanja
baada ya kufungwa bao la pili dakika ya 76 kipindi cha pili na Jose Gimenez.
TIMU ya Real Madrid imefungwa mabao 2-0 na wenyeji wao Atletico
Madrid katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora ya Kombe la Mfalme
"Copa del Rey Uwanja wa Vicente Calderon usiku wa kuamkia leo.Mshambuliaji Fernando Torres aliichezea kwa mara ya kwanza klabu yake ya zamani, Atletico baada ya kurejea wakati Cristiano Ronaldo alikuwa nje kwa maumivu ya goti.
Atletico Madrid (4-4-2): Oblak; Gamez, Godin, Gimenez, Lucas; Mario, Gabi, Saul (Turan), Raul Garcia; Griezmann (Mandzukic), Torres (Koke).
Goal: Garcia 58', Gimenez 76
Subs: Moyá Rumbo, Tiago, Jiménez, Juanfran
Booked: Gamez, Godin, Garcia, Gabi, Griezmann, Mandzukic
Real Madrid (4-2-3-1): Navas; Arbeloa (Carvajal), Varane, Ramos, Marcelo; Kroos, Khedira; Bale, Isco, James (Ronaldo); Benzema (Jesé).
Subs: Casillas, Coentrão, Nacho, Illarramendi
Booked: Marcelo, Khedira, Ramos, Carvajal
Ref: Carlos Clos Gómez
Att: 46,800
No comments:
Post a Comment