Picha, Tiwa Savage kama Beyonce,afanya show na ujauzito
Msanii kutoka Nigeria Tiwa Savage amejiunga na mastaa kama Alicia
Keys, Beyonce na kelly Rowland walioweza kufanya show wakiwa na
ujauzito. Tiwa Savage amefanya show nchini Uganda akiwa na ujauzito na
show zake ni kali kama kawaida. #Hongera.
No comments:
Post a Comment