New York, Marekani
MWANAMITINDO anayetikisa Marekani, Amber Rose juzikati alizindua kitabu chake kinachotambulika kama How To Be A Bad Bitch kilichoacha utata katika mitandao ya kijamii kutokana na jina lake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Amber aliachia kava la kitabu hicho kinachotoa somo la jinsi ya kufanikiwa kwenye maisha kilichochapishwa na kusambazwa na Kampuni ya Simon & Schuster Imprint kisha akaambatanisha na maneno yaliyosomeka; “Kitabu changu cha How To Be A Bad Bitch sasa kinapatikana mitandaoni.
Wengi wanajua kuwa Bitch ni mtu malaya lakini niwaambie Bitch ni mpambanaji. Na Bad Bitch ni mtu anayejitambua, anajua anataka nini na mwenye pesa.”

No comments:
Post a Comment