Ilikuwa tarehe 26 june 2007 tulipompoteza mh.Amina Chifupa.Ikiwa pia ni siku ya upigaji vita matumizi ya madawa ya kulevya.

Mpaka anakumbwa na mauti alikuwa
mbunge wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi.Watanzania
wataendelea kumuenzi na atakumbukwa kwa vita yake dhidi ya wauzaji wa
madawa ya kulevya.
Chanzo cha habari na http://dinamarios.blogspot.com
No comments:
Post a Comment