|  | 
| Cristiano Ronaldo akipiga free kick ambayo haikuwa na madhara yoyote. | 
|  | 
| Fabregas IN Negredo OUT | 
|  | 
| Ronaldo akipiga kick kali | 
|  | 
| Wachezaji wa Portugal mara baada ya dakika 90. | 
|  | 
| Sergio akifunga penati yake | 
|  | 
| Bruno Alves akikosa Penati yake | 
|  | 
| Fabregas akishangilia mara baada ya kufunga penati ya ushindi. | 
|  | 
| Wa-Spain wakishangilia. | 
|  | 
| Wachezaji wa Portugal, wakiongozwa na Ronaldo wakiwa na huzuni mara baada ya kutolewa kwa mikwaju ya penati. | 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment