Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeyafutia leseni makampuni mawili ya
Uingereza na Dubai yaliyokuwa yakijihusisha na ukaguzi wa magari
yanayoingia nchini.
Katika matangazo yaliyochapishwa iliyotolewa na shirika hilo kwenye vyombo vya habri, liliyataja makampuni yaliyofutiwa leseni zao kuanzia Juni 18, mwaka huu kuwa ni M/s Jaffa Mohammed Ali Garage ya nchini Dubai, ambayo imefutiwa leseni Na.0656 na M/s WTM Utility Services Ltd, Unit 19,Coldharbour House, Coldhabour Lane, Rainham, Essex, RM13 9YA ya Uingereza ambayo imefutiwa leseni Na. 0655.
Taarifa hiyo ilieleza kuwa wasafirishaji wa magari kutoka Dubai wanashauriwa kukaguliwa magari yao na kampuni ya M/s.
Jabal Kilimanjaro Auto Elect Mechanical yenye anuani 68232, Sharjah, ambapo wasafirishaji wa kutoka Uingereza watatakiwa kukaguliwa na kampuni ya Vehicle Operator Services Agency(VOSA), na kwamba wasafirishaji wote ambao hawatakuwa na vyeti vinavyoonyesha kukaguliwa na makampuni yaliyotajwa hawataruhusiwa kuingiza bidhaa zao sokoni.

No comments:
Post a Comment