LONDON, England
HOMA ya Manchester United kwenda ziarani Afrika Kusini inazidi kupanda huku tiketi za mechi mbili za kirafiki watakazocheza zikiuzwa sana.

Hata hivyo kuna uwezekano baadhi ya
wachezaji wa kikosi cha kwanza cha timu hiyo wakashindwa kwenda Bondeni
akiwamo Wayne Rooney.
Ikiwa uko, itacheza dhidi ya timu ya AmaZulu na Ajax Cape Town.
Rooney, Phil Jones, Ashley Young, Danny Welbeck (England), Patrice Evra (Ufaransa) na Nani (Ureno) wako likizo baada ya kuchelewa kwenda mapumzikoni kutokana na kushiriki kwao michuano ya Kombe la Mataifa ya Ulaya mwaka huu.

Mkongwe Ryan Giggs, Tom Cleverly na David De Gea nao
hawatakuwapo kwa sababu ya maandalizi ya michuano ya Olimpiki baadaye
mwezi huu.
Pia kuna majeruhi kadhaa kama Nemanja Vidic, Chris Smalling na Darren Fletcher.
Hiyo ima maana, Kocha Alex Ferguson atakuwa na wachezaji wachache wenye majina kwenye ziara hiyo kama Ferdinand, Paul Scholes na Javier 'Chicharito' Hernandez.

Hata hivyo kutokuwapo kwa wachezaji wengi
kwenye kikosi cha kwanza cha klabu hiyo hakutaathiri maandalizi ya
ziara, huku tiketi za bei mbaya za mchezo dhidi ya AmaZulu kwenye Uwanja
wa Moses Mabhida Jumatano zikiendelea kuuzwa.
Kivutio kikubwa kwenye ziara hiyo kitakuwa mchezaji mpya aliyesajiliwa hivi karibuni, Shinji Kagawa kutoka Japan aliyewasili Old Trafford mwezi uliopita baada ya kuonyesha kiwango kizuri kwenye Ligi ya Bundesliga akicheza timu ya Borussia Dortmund.

No comments:
Post a Comment