Baadhi
ya wanachama wa Yanga, wakiingia kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee kwa
ajili ya uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi mbalimbali za uongozi za klabu
hiyo, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Baadhi
ya wanachama wa Yanga, wakijiorodhesha ndani ya ukumbi wa Diamond
Jubilee kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi mbalimbali za
uongozi za klabu hiyo, Dar es Salaam leo.

Baadhi
ya wahudumu kwenye mkutano huo wa kujaza nafasi mbalimbali za uongozi
wakiwa wamepunzika wakisubiri kutoa huduma wakati wa mkutano huo leo,
Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Baadhi
ya wanachama wa Yanga, wakiomba dua kwa ajili ya kuombea amani uchaguzi
wao, kabla ya mkuato huo wa uchaguzi kuanza rasmi leo, Diamond Jubilee
jijini Dar es Salaam.

Wanachama
wa Yanga, wakiomba dua kwa ajili ya kuombea amani uchaguzi wao, kabla
ya mkuato huo wa uchaguzi kuanza rasmi leo, Diamond Jubilee jijini Dar
es Salaam.

Baadhi
ya wagombea wa Yanga, wakiomba dua kwa ajili ya kuombea amani uchaguzi
wao, kabla ya mkuato huo wa uchaguzi kuanza rasmi leo, Diamond Jubilee
jijini Dar es Salaam.

Katibu
Mkuu wa Yanga, Selestine Mwesigwa, akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi
wa mkutano huo wa uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi mbalimbali za uongozi
zilizokuwa wazi. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya
Yanga, Jaji mstaafu, John Mkwawa.

Meneja
wa Bia ya Kilimanjaro, ambao ni wadhamini wa vilabu na Ligi Kuu nchini,
George Kavishe, akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Mwenyekiti
wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Jaji mstaafu, John Mkwawa na kulia ni
Katibu Mkuu wa Yanga, Selestine Mwesigwa.

Mwenyekiti
wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Jaji mstaafu, John Mkwawa , akizungumza
na kutoa ufafanuzi kuhusu hatua mbalimbali za uchaguzi huo,
utakavyoendeshwa hadi kuwapata viongozi wa kujaza nafasi zilizowazi
katika klabu hiyo.Kulia ni Katibu Mkuu wa Yanga, Selestine Mwesigwa na
katikati ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, ambao ni wadhamini wa vilabu
na Ligi Kuu nchini, George Kavishe.

Mmoja
wa waliokuwa wachezaji wa Yanga, Ally Mayayi akiteta jambo na aliyekuwa
Makamu Mwenyekiti wa timu hiyo, katika uongozi uliopita Davies Mosha.

Mwenyekiti
wa Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), Deogratius
Lyatoo, akizungunza katika uchaguzi huo na kuitakia klabu hiyo uchaguzi
wenye mafanikio.

Baadhi
ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, wakiwa
kwenye mkutano huo wa uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi zilizowazi
wakifuatilia matukio mbalimbali.

Mmoja
wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti, Yussuf Manji akiwa na mmoja wa
wagombea wa nafasi za ujumbe, Abdallah Bin Kleb kwenye mkutano huo.
![]() |
| Mmoja wa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti, Yussuf Manji akiwa na miongoni mwa wagombea wa nafasi za ujumbe, Abdallah Bin Kleb na Yono Kavela kwenye mkutano huo. |
![]() |
| Wanachama wa Yanga, wakisikiliza maelezo mbalimbali ya wagombea wakati wa mkutano wa uchaguzi mdogo wa uongozi wa timu hiyo, ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam leo. |


No comments:
Post a Comment