Mshambuliaji
wa Simba, Haruna Moshi ‘Bobani’ akimiliki mpira mbele ya beki wa URA ya
Uganda, Ssenkoomi Samuel katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. URA ilishinda 2-0.
Wachezaji wa Simba wakibadilishana mawazo wakati wakitoka mapumziko.
Uhuru Seleman akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa URA.
No comments:
Post a Comment