RAIS KIKWETE AMKARIBISHA RAIS WA LIBERIA IKULU SIKU YA JANA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete wakiwa na mgeni wao
Rais Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia alipowasili Ikulu jijini Dar es
Salaam siku ya jana kwa maongezi rasmi pamoja na dhifa ya kitaifa.
No comments:
Post a Comment