Mkurugenzi Mtendaji wa Shirila la Umeme Tanzania, TANESCO, William
Mhando amesimamishwa kazi na hii leo na Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika
hilo leo ili kupisha uchunguzi juu ya tuhuma dhidi yake za ubadhirifu na
matumizi mabaya ya madaraka.
Taarifa ya Bodi hiyo imesema kikao cha dharura kilichoitishwa kilikubaliana kumsimamisha si tu Mhando bali pia Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa huduma za TANESCO, Robert Shemhilu, Afisa Mkuu wa Fedha, Lusekelo Kasanga na Meneja Mwandamizi - Manunuzi, Harun Matambo.
Bofya kifute cha pleya kusikiliza taarifa hii na nyinginezo kupitia TBC.
SAMAHANI: Sauti ya audio ni mbaya kutokana na tatizo la mitambo kwenye redio niliporekodia. Sikuwa na njia mbadala!

No comments:
Post a Comment