EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, August 6, 2012

Mgomo wa Walimu: Wakuu 10 wavuliwa madaraka

Walimu Wakuu 10 wa shule za msingi wilayani Tarime mkoani Mara, wamevuliwa madaraka yao hayo baada ya kubainika kufunga ofisi, kushindwa kulinda mali za shule na wanafunzi na kuhamasisha mgomo kwa walimu wenzao.

Ofisa Elimu wilayani humo, Emanuel Johnson alikiri walimu hao kuvuliwa madaraka yao tangu Agosti mosi, mwaka huu na kwamba bado mchakato unaendelea wa kuwabaini walimu wengine waliohusika na mgomo huo, “Ni kweli tumewavua madaraka Walimu wakuu wa shule za msingi 10 tangu Agosti Mosi na tunaendelea na mchakato wa kuwabaini wengine waliohusika katika kushindwa kulinda mali za shule na wanafunzi na kufunga ofisi za umma na kuwezesha walimu kugoma kufundisha na kuathiri sekta ya elimu,” alisema.

Alimtaja mmoja wa Walimu Wakuu waliovuliwa madaraka kuwa ni Esther Magesa wa Shule ya Msingi Mturo ambaye alikamatwa na Polisi na kuhojiwa kwa zaidi ya saa mbili na kuachiwa baada ya kudhaminiwa.

Walimu wengine waliovuliwa madaraka wanatoka shule za msingi za Kwihanche, Reamagwe, Nkerege, Gibaso, Kitagutiti na Nyamwino. Walimu Wakuu wa shule mbili, za Nyankoni na Itiryo, walipewa onyo lakini endapo itabainika kuwa walihusika, na wao watavuliwa madaraka.

Johnson alisema Polisi wilayani humo inamsaka Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wilaya ya Tarime, Matinde Magabe kwa tuhuma za kuchochea mgomo wa walimu, kutoa vitisho kwa walimu waliokataa kugoma na kusababisha uvunjivu wa amani katika baadhi ya shule.

Walimu waligoma kwa siku kadhaa mapema wiki iliyopita nchini kote wakishinikiza kulipwa baadhi ya madai yao na kutaka nyongeza ya mishahara ya asilimia 100; madai ambayo Serikali ilisema haiwezi kuwalipa hasa nyongeza ya mishahara kwa asilimia hiyo.

Mahakama Kuu, Divisheni ya Kazi iliamuru walimu hao warejea kazini baada ya kueleza kuwa mgomo wao ulikuwa batili kwa sababu haukufuata sheria na kuwataka walipe fidia kwa kutokwenda shuleni.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate