EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Wednesday, August 29, 2012

WAZIRI WA NISHATI AJIUZURU

                                Waziri wa kawi Barth Nnaji
Waziri wa kawi nchini Nigeria, Barth Nnaji amejiuzulu baada ya kuhusishwa na kashfa ya kandarasi ya uzalishaji umeme.Serikali ya Nigeria iko katika harakati za kubinafsisha makampuni yake katika juhudi za kumaliza tatizo kubwa la upungufu wa umeme.
Msemaji wa bwana Nnaji alisema kuwa waziri huyo amelimbikiziwa makosa hayo visivyo.
 
Ni nadra kwa wanasiasa nchini Nigeria ambako ufisadi ni tatizo kubwa kujiuzulu baada ya kuhusishwa na kashfa yoyote kwa mujibu wa wadadisi wa siasa za nchi hiyo.
Rais Goodluck Jonathan,aliyeahidi kupambana na tatizo la upungufu wa umeme alipoingia madarakani mwaka 2010, alisema kuwa anakubali kujiuzulu kwa bwana Nnaji.
'Maslahi ya kibinafsi'
                                     Sekta ya kawi Nigeria
Hakuna yeyote aliyetoa maelezo kuhusu hatau ya bwana Nnaji kujiuzulu, sio rais Goodluck wala Nnaji mwenyewe, lakini inakuja baada ya magazeti ya Nigeria kuripoti kuwa waziri huyo alikuwa na uhusiano na kampuni ambayo ilitaka kununua mali ya serikali ambayo ilikua inauzwa.
 
Msemaji wa Nnaji alithibitisha kuwa alikuwa na maslahi katika mojawapo ya makampuni yaliyotoa maombi yao ya kununua mali hizo.
Aliongeza kuwa bwana Nnaji hakufurahia hata kidogo kuhusu tuhuma hizo na kwamba alionelea ni bora kwake kuendelea na shughuli zake za binafsi.
Mwandisi wa BBC Fidelis Mbah anasema kuwa tangu kuingia ofisini mwezi Julai mwaka 2011,bwana Nnaji amekabiliwa na changamoto kubwa kwa sababu ya mageuzi anayojaribu kuleta.Amekuwa akijaribu kukabiliana na ufisadi na utenda kazi duni wa sekta ya kawi , hatua ambayo imeghadhabisha wafanyakazi wa umma ambao huenda wakapoteza kazi zao.
                                Kisima cha mafuta nchini Nigeria
Wenye biashara za kifahari ambazo huingiza nchini humo majenereta kutoka nje pia yamemshtumu mipango yake ya kutaka kuuza makampuni sita ya kuuza jenereta hizo kama mpango wa kubinafsisha sekta ya kawi.Nigeria ndio nchi inayozalisha pakubwa mafuta.
Via BBC SWAHILI

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate