
Mti huu ni kwa ajili ya kumbukumbu ya Daudi Mwangosi kututoka kimwili lakini angali nasi kiroho hadi tutakapoungana naye tena

Nyumbani kwa marehemu Daudi Mwangosi, TRM, Mtwivila, Iringa

Itika Mwangosi, mkewe marehemu Daudi Mwangosi. Marehemu Daudi ameacha mke na watoto wanne, wa mwisho ana umri wa miaka miwili.


Mwana wa Daudi Mwangosi akimkumbatia Dkt. Wilbrod Slaa. Anayeangalia kulia ni Ndg. Arcado Ntagazwa


picha zote ni kutoka kwenye MjengwaBlog.com
No comments:
Post a Comment