C-sir Madini amemaliza kushoot video ya wimbo wake mpya ambao unatarajiwa kutoka mwezi ujao unaoitwa ‘Pain Killer’. Audio ya wimbo huo imetengenezwa na Kid bwoy wa Tetemesha Recordz, na video imetengenezwa na Adam Juma wa Next Level, na katika video hiyo C-sir amevalishwa na Kidoti Loving ya Jokate Mwegelo. Fans kaeni tayari kwa mzigo huu mpya wa C-sir Madini.

No comments:
Post a Comment