
Waandishi wa Habari wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu kuelekea Makabirini

Wakiwa wanafanya ibada ya Mwisho kabla ya kuanza maziko

Hapa wakiwa wanashusha mwili wa marehemu katika Nyumba yake ya milele

Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa Tayari katika Kaburi

Shughuri za kuzika zimeanza

Mazishi yanaendelea

Mke wa Marehemu Daudi Mwangosi akiweka Shada la Mauwa kwa machungu

Mke wa Daudi Mwangosi akiwa analia kwa uchungu katika Kaburi la Marehemu Mumewe

Watoto wa Marehemu wakiwawanaweka mashada ya maua sasa

Ni ngumu sana Kuamini kwa mke wa Marehemu lakini hali ndivyo ilivyo kuwa akiwa na huzuni kubwa

Dr Slaa akiweka Shada la Mauwa

Dr Slaa Baada ya kumaliza kutoa heshima za mwisho

Mh. Mark Mwandosya akiweka Taji la maua pamoja na mke wake

Rais wa UTPC akiweka shada la Maua
Ndugu wa Marehemu akiweka shada la Maua
Mwenyekiti wa Mbeya Press Club akiweka shada la maua



Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu, Ndugu Joseph Mwaisango akiwa anatoa heshima zake za Mwisho katiaka Kaburi

Wananchi wakiwa wanarejea baada ya mazishi

Waandishi wa Habari wakichukua Tukio Live `

Na
huu Ndio Mwisho wa tukio zima la Mazishi ya Ndugu yetu, Mwanaharakati,
Mpiganaji Daudi Mwangosi aliyekuwa Mwandishi wa Chanel 10.
TONE
MULTIMEDIA COMPANY LIMITED AMBAO NI WAMILIKI WA MTANDAO HUU WA MBEYA
YETU, TUNAWAPA POLE SANA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOPATWA NA MSIBA
MKUBWA, TUKIWA WANAHABARI PIA TUMESIKITIKA NA TUNASIKITIKA SANA KUTOKANA
NA MSIBA HUU. MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU.
Tukio
zima Limeletwa kwenu na Tone media Live Group ambapo Mpiga picha Mkuu
alikuwa ni Ndugu Joseph Mwaisango na Iliye rusha Tukio zima kuanzia
mwanzo mpaka mwisho toka pande za studio ni Fredy Tony Njeje.
PICHA NA MBEYA YETU BLOG
No comments:
Post a Comment