EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, November 5, 2012

AIRTEL YATOA VITABU VYENYE THAMANI YA MILIONI 12 TSH SHULE ZA SEKONDARI IRINGA.


Shule 4  za sekondari mkoani Iringa za faidi na msaad huo
Katika kuhakikisha kiwango cha elimu nchini kinainuka, kampuni ya simu za mkononi ya Airtel chini ya mpango wake wa Shule yetu imeendelea kutoa msaada wa vitabu kwa shule mbalimbali za sekondari ambapo mwisho mwa wiki hii Airtel ilitoa vitabu kwa shule za sekondari Kiponzelo, Wasa, Mgawa and Lyandembela zilizoko mkoani Iring.

Akiongea wakati wa halfa ya kukabidhi vitabu iliyofanyika katika shule ya sekondari lyandembela Diwani wa Viti Maalum CCM, Vumilia Mwenda, Tarafa ya Kiponzero, Ifunda Mkoani Iringa alisema “Tunashukuru Airtel kwa kutoa haki sawa kwa shule zote nchini kwa kuchangua shule kupitia droo ambayo imeweza kuwafikia wanafunzi wa shule za Iringa hadi vijijini. Tumefurahi sana kupata vitabu mbalimbali kwani shule ya sekondari za hapa Ifunda zina  changamoto ya upungufu wa vitabu hasa vya sayansi na kulifanya somo hilo kuwa na wanafunzi wa chache, lakini hivi sasa kutokana na msaada wa vitabu vilivyo tolewa vitaongeza ufaulu kwa wanafunzi wetu”.

Nachukua fulsa hii kuwaasa wanafunzi wavitumie vitabu hivi vizuri na kujiunga na masomo ya sayansi, tunaamini vitabu hivi vitaleta ufanisi pamoja na kuwa na changamoto ya walimu naahidi kuwashirikisha wizara ya elimu ili kuongeza idadi ya walimu wa sayansi na kuongeza ufaulu zaidi” aliongeza Bi Mwenda

Naye Mwalimu mkuu wa sekondari ya Wasa David Mpalanzi Iliyoko Wilaya Mfindi Mkoa wa Iringa akiongea kwa niaba ya wakuu wa sekondari wa shule za Mgama, Lyandembela and Kiponzelo alitoa shukurani kwa Airtel na kusema msaada huo wa vitabu utaweza kuwa saidia wanafunzi kuwa na uweza wa kujisomea zaidi na kuwawezesha kufaulu hadi kwenda chuo kikuu ,kwani hapo awali kulikuwa na changamoto kubwa katika shule zetu ambapo uwiano ulikuwa kitabu kimoja wanafunzi 15 hadi 20. Lakini msaada huu utapunguza zaidi, kwa kweli huu ni msaada mkubwa katika kuboresha taaluma na kuinua ufaulu hivyo tunaomba program hii ya shule yetu iendelee ili kuwafikiwa watu wengi zaidi

Tunaomba Airtel muongeze wigo wa kutoa misaada mbalimbali ya kuboresha elimu na mazingira kwa ujumla ikiwemo , kutoa komputa, kusaidia upatikanaji wa maji, na mengine mengi. Akiongea kwa niaba ya wanafunzi Kaka Mkuu wa shule ya Lyandembela sekondari Taifa Malata ametoa shukurani kwa niaba ya wenzao huku akibainisha wanafunzi wengi walikuwa wakifeli katika masomo mbali mbali kutokana na ukosefu wa vitabu ,wanafunzi hao wameomba uongozi wa Airtel kuwafikirili kutatua changamoto zingine kama ukosefu wa maji, pamoja na kuwajengea maktaba ya kuwatosheleza ili kujisomea kwa nafasi zaidi

Akiongea kwa niaba ya Airtel Meneja mauzo wa Airtel Beda Kinunda amewataka wanafunzi wa sekondari zote mkoani Iringa kuongeza uwezo wa kujisomea ili Airtel ione ufaulu wa wanafunzi unaongezeka kupitia msaada unatolewa na Airtel,  pia natoa wito vitabu hivi vitunzwe ili viweze kuwafaidisha wanafunzi wengi kwa kuwa Airtel imeanzisha mpango wa Airtel Shule yetu ili iwe chachu kukuza Elimu.

Airtel imeanzisha mpango wa Airtel Shule yetu ili kuendeleza Elimu Inchini Tanzania Umeanzisha Mpango huo na kuweza kushindanisha shule mbalimbali zaidi shule 3000 na shule zinazo shinda hupewa vitabu katika bahati na sibu hiyo. shule NNE za mkoa wa Iringa zilibahatika kushinda.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate