
Kwa
mujibu wa msemaji wa familia aliyejitambulisha kwa jina moja la Azizi
aliyeongea na saluti5 Alhamisi usiku, ni kwamba katika maisha yake yote,
Mlopelo alikuwa anasumbuliwa na maumivu ya mwili yaliyokuwa yakitulia
na kuibuka tena hadi umauti ulipomfika.
Aziz amesema mazishi yatafanyika Temeke kesho (leo Ijumaa) saa 4 na kwamba msiba uko Temeke Wailes mtaa wa Boko.
Mungu amlaze mahala pema peponi.
No comments:
Post a Comment