KUNA
wake na wapenzi wengi wa wachezaji soka maarufu duniani, lakini mtandao
wa SunSport umetoa picha 10 za wanaoonekana kuwa wakali zaidi ya
wenzao.

Mwanamitindo wa kirusi, Irina Shayk mchuchu wa Cristiano Ronaldo

Abbey Clanx mke wa Peter Crouch wa Stoke City

Mwimbaji Shakira totoz la Gerrard Pique wa Barcelona

Frankie Sandford wa Wayne Bridge

Georgia Doressett kifaa cha Tom Cleverley wa Manchester United

Tulisa kimwana cha beki Danny Simposon wa Newcastle

Modo Katsia Zingervich mke wa mmliki wa Reading, Anton Zingervich

Natalia Veles kitu cha Falcao wa Atletico Madrid

Mtangazaji Sara Carbonero kifaa cha kipa Iker Casillas wa Real Madrid

Helen Flanagan demu wa Scott Sinclair wa Manchester City
Via saluti 5
No comments:
Post a Comment