Wanafunzi wa Shule ya Msingi Ifumbo
wilayani Chunya wameokota bastola iliyowekwa ndani ya mfuko wa Rambo
wakati wakicheza mpira katika uwanja wa shule hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Diwani Athumani, alisema kuwa wanafunzi hao waliokota bastola hiyo ikiwa na risasi moja.
Alisema kuwa silaha hiyo iliokotwa na wanafunzi wa shule hiyo saa 3:00 asubuhi.
Athumani alisema kuwa silaha hiyo ilikuwa imetelekezwa pembezoni mwa kiwanja hicho cha mpira.
Ametoa wito kwa wananchi hasa kwa wakazi wa wilaya ya Chunya kuwa makini na umiliki wa silaha kinyume cha sheria.

No comments:
Post a Comment