Leo
asubuhi kumetokea hali ya kutokuelewana kati ya kocha Roberto Mancini
na mchezaji toto tundu Mario Balotelli kiasi cha kufikia kushikana
mashati na kutaka kupigana kama isingekuwa kuamuriwa na wachezaji
wengine. Chanzo cha ugomvi wa wawili hao kinasemekana ni rafu ya
Balotelli aliyomchezea mchezaji Scot Sinclair katika mazoezi hayo ya
kujiandaa na mechi ya FA Cup dhidi ya Watford.
SOURCE-SHAFIIDAUDA
|
No comments:
Post a Comment