Wakati zikiwa zimebaki wiki chache tu hadi kifo cha Stephen Kanumba
kitimize mwaka mmoja, aliyekuwa mpenzi wake, Elizabeth Michael aka Lulu
kwa mara ya kwanza leo ameandika ujumbe kuhusiana na jinsi
anavyomkumbuka.
Lulu aliachiwa kwa dhamana mwezi January mwaka huu baada ya kukaa
mahabusu kwa takriban miezi minane kufuatia kukamatwa kwa kuhusika na
kifo cha Kanumba.
Lulu ambaye hivi karibuni amekuwa akitweet mara kwa mara ameandika:
“Ulikuwa zaidi ya baba,kaka,mpenzi,mume,ndugu,rafiki….sitoacha kukulilia katika maisha yangu yote!!R.I.P daddy angu STEVEN KANUMBA.”
Akiambatanisha na picha ya Kanumba, Lulu ameongeza, “I will alwayz love u daddy angu!”
Unaweza kumfollow Elizabeth Michael Twitter kwa jina la @hotlulumichael.

No comments:
Post a Comment